Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Nimekuwekea U Heard ya leo Feb12, msanii Madee amesikika unaweza kuisikiliza hapa.

on

Davido Covers IIiKwenye U Heard ya leo February 12, inahusu ishu iliyomfikia Soudy Brown kwamba kuna muandaaji wa tamasha hivi karibuni alikuwa na mahudhurio ya watu wachache kwenye tamasha lake kutokana na show ya akina Madee Escape 1.

Soudy Brown alimtafuta msanii Madee ambaye alikuwa anazindua video ya wimbo wake wa Vuvula pamoja na msanii Chege na Temba, akizungumzia ishu hiyo amesema hawajaona kama Tamasha lao liliathiri upande mwingine wowote.

Sikiliza U Heard yote hapa kwa kubonyeza play hapa.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments