Videos

VideoMPYA: Madee katuletea hii video mpya ya ‘migulu pande’ hajaenda South, ndani yumo Kajala na StanBakora

on

Ni hit single ya mkali kutokea Tiptop Connection na ametimiza ahadi kama alivyosema, director ni Mtanzania Adam Juma… ukishaitazama hii video hapa chini usiache kutoa comment yako maana Madee atapita kujua raia wake wameipokeaje.

https://www.youtube.com/watch?v=jjurPSmlYa8

ULIIKOSA HII YA WASTARA KUELEZA KWANINI NDOA YAKE IMEVUNJIKA BAADA YA SIKU 80? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments