Top Stories

Madereva wafurika katika vituo vya Mafuta ‘Kupanda kwa bei mpya, abiria atakataa’ (video+)

on

Ni April 5, 2022 ambapo vituo mbalimbali vya mafuta Jijini Dar essalaam vilionekana kuwa na foleni ya magari yakijaza mafuta saa chache baada ya bei mpya ya mafuta kutangazwa nchini Tanzania ambapo picha hizi ni za Makongo mwisho.

Hi ni baada ya EWURA  kutangaza kwamba bei za mafuta zinapanda huku moja ya sababu za kupanda kwake ikiwa ni vita inayoendelea Nchini Ukraine ambapo petroli imepanda kutoka sh. 2540 kwa lita mwezi uliopita hadi shilingi 2861 kwa lita ikiwa ni ongezeko la shilingi 321 huku diesel ikipanda kutoka
shilingi 2403 kwa lita mwezi uliopita hadi 2692 ikiwa ni ongeze.

Tupia Comments