Perfomance ya Diamond Platnumz mkoani Mwanza Uwanja wa CCM Kirumba imemfanya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) John Pombe Magufuli amvisha kofia ya CCM aliyokuwa ameishika.