Habari za Mastaa

VIDEO: Rais Magufuli amekiri kuzipenda nyimbo hizi..!!

on

Nafahamu moja kati ya vitu inawezekana ulikua unatamani kujua kutoka kwa Rais Magufuli ni pamoja na aina ya nyimbo anazopenda kusikiliza au kuangalia akiwa free. Basi leo Jumapili October 30, 2016 Kutoka Ayo TV leo nimezipata taarifa hizo.

Kutoka kipindi cha Chomoza kinachorushwa na Clouds FM kila Jumapili, zimetajwa Nyimbo za dini ambazo Rais John Pombe Magufuli anazipenda sana. Nimekuwekea hapa Video zake. 

ULIPITWA NA UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA LEO OCTOBER 30? NIMESHAYAWEKA HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments