Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Makamba ahoji takwimu ya bodi ya ligi kuu, Manara aweka comment
Share
Notification Show More
Latest News
Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
September 22, 2023
Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025
September 22, 2023
Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno
September 22, 2023
Nigeria:Tinubu aidhinisha nyongeza ya mishahara kwa Taasisi za Elimu ya Juu za Shirikisho
September 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Makamba ahoji takwimu ya bodi ya ligi kuu, Manara aweka comment
Sports

Makamba ahoji takwimu ya bodi ya ligi kuu, Manara aweka comment

September 23, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) Septemba 22, 2021 ilitangaza Club 20 za soka Tanzania ambazo zimeingiza Mashabiki wengi viwanjani (home ground) katika msimu wa 2020/2021.

1- Yanga SC Mashabiki 141,681

2- Simba SC Mashabiki 138,518

3- Dodoma Jiji FC Mashabiki 27,455

4- JKT Tanzania Mashabiki 25,062

5- Mwadui FC Mashabiki 22, 232

Hizi ni baadhi tu ila orodha iliyotangazwa inafikia Club 20.

Kwa upande wa mapato Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara (TPLB) ikataja Club za soka zilizopata mapato mengi kupitia viingilio vya mlangoni kwa msimu mzima wa 2020/2021

1- Yanga SC Tsh millioni 986.8

2- Simba SC Tsh milioni 929.7

3- JKT Tanzania Tsh milioni 148.1

4- Dodoma jiji Tsh milioni 139.3

5- Ihefu FC Tsh milioni 138.6

Hizi ni baadhi tu ila orodha iliyotangazwa inafikia Club 20. Sasa kinachoendelea mitandaoni kwasasa ni watu mbalimbali wakiendelea kuhoji juu ya takwimu hizo zilizotolewa hapa nimekusogezea alichokisema Waziri wa Nishati January Makamba kisha kujibiwa na Msemaji wa Yanga SC Haji Manara

MANARA AFUNGUKA BAADA YA KUTANGAZWA KWA TAKWIMU ZA BODI YA LIGI KUU TANZANIA BARA  

You Might Also Like

Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta

Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou

Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025

Joan Laporta atoa update juu ya matatizo ya kifedha ya Barcelona

Shida ya Man Utd iko katika kila kitu-Bruno Fernandes

TAGGED: Haji Manara, Makamba
Edwin TZA September 23, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 23, 2021
Next Article Exclusive:Wafunga Ndoa wodini baada ya mume kupata ajali na kukatwa mguu (video+)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
Sports September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
Sports September 22, 2023
Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025
Sports September 22, 2023
Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno
Top Stories September 22, 2023

You Might also Like

Sports

Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta

September 22, 2023
Sports

Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou

September 22, 2023
Sports

Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025

September 22, 2023
Top Stories

Nigeria:Tinubu aidhinisha nyongeza ya mishahara kwa Taasisi za Elimu ya Juu za Shirikisho

September 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?