Rapper aliyekua akiwakilisha kundi la Lunduno Nikki Mbishi ‘Baba Malcom’ leo ameingia kwenye headline baada ya kutangaza kuwa ameacha kazi ya muziki.
Taarifa hizo aliwahabarisha mashabiki wake kupitia ukurasa wa twitter na kuandika ‘I’m glad to say I’ve officially decided to quit music….Wishing all the best to the slaves and victims of Music industry. #2015
Hizi ni baadhi ya tweets za rapper huyo baada ya kutangaza kuacha kazi ya muziki 2015
Nitaziachia tracks zangu zote ambazo hazijatoka for free then SITOINGIA TENA STUDIO kufanya wimbo(MUZIKI BASI) #My_decision_2015
— I’mNotStupid (@NikkiZohan) January 2, 2015
I’m glad to say I’ve officially decided to quit music….Wishing all the best to the slaves and victims of Music industry. #2015 — I’mNotStupid (@NikkiZohan) January 2, 2015
The Industry is designed to frustrate the cats with high degrees of talents and intelligence. Ngwea,Langa,Geez mlale pema wanangu.
— I’mNotStupid (@NikkiZohan) January 2, 2015
I will remain as a music fan…and u guys need to find me some hip hop heads to listen to…asanteni. — I’mNotStupid (@NikkiZohan) January 2, 2015
Tusije kushikiana bunduki bure maana milango ya kutoka kimaisha ni mingi na muziki ni burudani na biashara sio vita.
— I’mNotStupid (@NikkiZohan) January 2, 2015
Mpaka lini tutauza UNGA kwa kivuli cha kuwa WASANII? — I’mNotStupid (@NikkiZohan) January 2, 2015
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook