By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
Millard AyoMillard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2024 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA 7: Manchester United walivyowasili nyumbani baada ya mechi ya jana
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Millard AyoMillard Ayo
Font ResizerAa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2024 MILLARD AYO. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > PICHA 7: Manchester United walivyowasili nyumbani baada ya mechi ya jana
Sports

PICHA 7: Manchester United walivyowasili nyumbani baada ya mechi ya jana

Published October 24, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Baada ya jana kuchezea kichapo cha mwendokasi, cha magoli 4 – 0 dhidi ya wazee wa Darajani Chelsea The Blues, Nimezipata picha zinazowaonesha wachezaji wa Manchester United na Kocha Jose Mourinho wakirejea nyumbani wakiwa na nyuso za hasira na huzuni.

Miamba hao kutoka Old Trafford walijikuta wakibanwa pumzi na The Blues, sekunde ya 31 ya mchezo baada ya mchezaji Pedro.

Matokeo ya mechi hii yameongeza kibarua kigumu kwa kocha Jose Mourinho kuweza kubadili sura ya club hiyo ambayo imekua ikishuhudia vipigo mra kwa mara.

Hapa nimekuwekea picha 7 za Manchester  United baada ya kuondoka Stamford Bridge Jumapili jioni.

mourinho-2
mourinho-3
mourinho-4
mourinho-5
mourinho-6
ULIPITWA NA ALICHOKISEMA RAIS MAGUFULI KUHUSU WALICHOZUNGUMZA NA MFALME MOHAMMED WA VI KUTOKA MOROCCO? KIPO HAPA

 

TAGGED:Manchester UnitedPichaz
Share This Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Vituo vya TV vya CNN na HBO vimekubali kuuzwa kwa mmiliki mwingine
Next Article Drake atangaza kuachia album hii December 2016
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Wanafunzi Kapeta,Kiwira warithishwa ari ya utunzaji mazingira
Wananchi Manispaa ya Morogoro waelezwa umuhimu kuboresha daftari la kudumu Mpiga kura
Naibu Katibu mkuu wizara ya madini asisitiza uwajibikaji weledi na ubunifu katika utekelezaji wa majukumu
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 22, 2025
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US
© 2024 MILLARD AYO. All Rights Reserved. Designed by Ayo.

Lost your password?