Michezo

Man United Vs Club Brugge matokeo ni haya (Picha&Video)

on

BRUGGE, BELGIUM - AUGUST 26: during the UEFA Champions League qualifying round play off 2nd leg match between Club Brugge and Manchester United held at Jan Breydel Stadium on August 26, 2015 in Brugge, Belgium. (Photo by Dean Mouhtaropoulos/Getty Images)

Klabu ya Manchester United August 26 imeshuka dimbani kucheza mechi yake ya marudiano na Club Brugge ya Ubelgiji, mchezo huo ambao Club Brugge imecheza nyumbani lakini imepokea kichapo cha goli 4-0. Magoli ya Man United yamefungwa na nahodha wa timu hiyo Wayne Rooney dakika ya 20, 49 na 57 huku goli la nne lilifungwa na Ander Herrera dakika ya 63.

Picha za mechi

485275046

Generated by IJG JPEG Library

Par8256259_2

Generated by IJG JPEG Library

1440616328283_lc_galleryImage_26_August_2015_UEFA_Champ

Nakusogezea video ya magoli mtu wangu

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments