Premier Bet
TMDA Ad

Mix

Naibu waziri Masauni kuhusu maafisa zimamoto wanaotoa sababu za kizembe

on

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amezungumza na askari na maafisa wa Jeshi la zimamoto na uokoaji wa Mkoa wa Mwanza alipofanya ziara mkoani humo kwa lengo la kujua jinsi Jeshi hilo linavyofanya kazi mkoani humo.

Masauni katika hotuba yake aliwataka viongozi wa jeshi hilo wafanye kazi kwa kujituma zaidi na waepuke kutoa sababu za kizembe wakati wanapoenda katika matukio ya uzimaji moto na watakaofanya hivyo watachukuliwa hatua kali. 

????????????????????????????????????

MASA

PIX 5

ULIKOSA HIIYA WAZIRI MAGHEMBE KUELEZA ALICHOONA BAADA YA KUTEMBELEA MBUGANI KAMA WATALII WANAFIKA? PLAY VIDEO HII HAPA CHINI 

Soma na hizi

Tupia Comments