AyoTV

VIDEO: OMG kundi la muziki lililovunja rekodi ya mauzo wasafi.com

on

Baada ya kuachia Mdundo wao waliomshirikisha Baraka the Prince ‘Uongo na Umbea‘ OMG, wamezipata taarifa kutoka Wasafi.com kuwa wimbo wao ndio umeongoza kwa mauzo tangu wauachie, wameongea na mengine yote nimekuwekea hapa kwenye hii video hapa chini.

Ulimiss hii Babu Tale aliniambia nisitembee na Madee, Niende Ya Moto Band itazame hii video hapa chini.

Soma na hizi

Tupia Comments