Mix

VIDEO: Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani – Ushirika, Moshi

on

Leo May 1, 2017 Nchi ya Tanzania inaunga na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa sherehe hizo zinafanyika katika viwanja vya Ushirika Wilayani Moshi katika Mkoa wa Kilimanjaro.

Unaweza kufuatilia LIVE hapa kwa kubonyeza play…

VIDEO: Hotuba ya JPM kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani – Kilimanjaro. Bonyeza play kutazama…

Soma na hizi

Tupia Comments