Habari za Mastaa

Picha 10 za mazishi ya mzee Small June 09.

on

umatiNi msiba wa 4 mfululizo ndani ya mwezi mmoja kutoka tasnia ya filamu Tanzania,Jioni ya leo June 09 Said Ngamba au Mzee Small amezikwa na mazishi yake kuhudhuriwa na watu mbalimbali wa serikali,vyama,wasanii na wananchi wa kawaida.

miongoni mwa watu ambao walihudhuria ni pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete,ilianza kusomwa dua nyumbani kisha baada ya dua kukamilika ilianza safari ya kuelekea kwenye makaburi ya Segerea sehemu ambayo aliomba mwenyewe Mzee Small kuwa kama akifa azikwe hapo.

Hizi ni baadhi ya picha za mazishi ya Mzee Small.

watuu

watu

jk

jk mchango

jeneza

kabuli

mwili kwny gari

jkkk

jenezaaaPicha:Global Publishers.

Tupia Comments