Mix

VIDEO: James Mbatia azungumza Kuhusu vurugu za CUF

on

Wakati Mkurugenzi wa Habari CUF Taifa, Abdul Kambaya akiwa amekutana na waandishi wa habari kwa ajili ya kuzungumzia kilichotokea Vinna Hotel katika tukio la kuvamiwa kikao cha chama na kupigwa waandishi wa habari,

Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi James Mbatia ambaye ni mmoja ya viongozi kutokea UKAWA leo April 25 2017 kupitia habari ya Azam two amezungumza kwa upande wake kuhusiana na swala hilo la vurugu zilizotokea kwenye mkutano wa CUF na kusema haipaswi kushabikia na kuyachochea yanayotokea CUF.

Bonyeza Play hapa chini kutazama…

VIDEO: ‘Hatuna sababu ya kukataa, sisi tulituma vijana wetu’- CUF

Soma na hizi

Tupia Comments