Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Mbunge Zainabu katika vita dhidi ya Mila na Desturi kandamizi “Mwanamke tangu utotoni anatengwa” (+video)

on

Jamii imetakiwa kupinga Mila na Desturi kandamizi kwa Wanawake ambazo zimekuwa zikichangia Mwanamke kuonekana si sehemu ya maamuzi kuanzia katika ngazi ya familia na kufanya kuwepo kwa tofauti kubwa ya uwiano kati ya Wanaume na Wanawake katika nyadhfa za Uongozi kuanzia ngazi ya chini.

Akielezea juu ya Mila na Desturi kandamizi katika jamii Mbunge Zainabu Katimba amesema Mtoto wa kike tangu akiwa mdogo amekuwa akikutana na mazingira yanayomfanya aonekane anafaa katika mambo mengine na si kushika nafasi za Uongozi hivyo akaitaka jamii kuachana na Mila hizo kandamizi.

GOOD NEWS BOMBA LA MAJI LA KUTOKA TABORA KWENDA MWANZA LIMEUNGANISHWA

Soma na hizi

Tupia Comments