AyoTV

FULL VIDEO: Mbowe aongea kwa mara ya kwanza toka atajwe na Paul Makonda

on

Kwa mara ya kwanza toka Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kutajwa kwenye sakata la dawa za kulevya kwenye orodha ya watu 65 ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, leo ameongea akiwa Dodoma…. mtazame kwenye hii video hapa chini

Ili usipitwe na Breaking NEWS zote za Tanzania na nje ya Tanzania, matukio ya habari za mastaa, michezo na mengine, usiache kujiunga na Millard Ayo kwa ku-subscribe Youtube jina la “millardayo” pia Install APP ya “millardayo” kwenye Android na IOS, Facebook, Twitter na Instagram @millardayo

VIDEO: Kamishna Sirro Dar es salaam leo akiongea kuhusu orodha ya wale 65 waliotajwa na Paul Makonda pamoja kinachoendelea kwa Yusuph Manji na Askofu Gwajima

Soma na hizi

Tupia Comments