AyoTV

VIDEO: Sirro kaongea kuhusu Manji na Gwajima waliokwenda Polisi jana

on

Sakata la dawa za kulevya Dar es salaam bado liko kwenye vichwa vya habari ambapo leo Ijumaa ndio siku ya Watu 65 waliotajwa na Mkuu wa mkoa Paul Makonda kufika kituo cha kati Polisi kwa ajili ya kuhojiwa.

Pia inawezekana wewe ni miongoni mwa wanaohitaji kufahamu kuhusu Yusuph Manji na Askofu Gwajima waliofika Polisi jana, tazama Kamishna Sirro akiongea yote kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Yusuph Manji na Gwajima walivyoondolewa kituo cha kati cha Polisi jana jioni, tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Askofu Gwajima aongea baada ya kutajwa na Paul Makonda, bonyeza play kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments