Top Stories

Baba asimulia Mtoto wake alivyotekwa na kunyongwa Mbeya, Mtekaji alitaka MILIONI 10 (+video)

on

“Ilikua siku ya Jumanne mwanangu alienda Shuleni asubuhi kama kawaida na kurudi mchana saa tisa na nusu, baada ya hapo alikua anakwenda Tuition ndio akakutana na Mtu asiemfahamu akamteka, tulimsubiri mpaka usiku hakuonekana… tulipokwenda kuulizia kwa Rafiki zake wakasema hawajamuona” – Bakari John Siame, Baba wa Mtoto

Ni tukio la kuhuzunisha lililotokea kwenye Mkoa wa Mbeya ambapo baadae Mwili wa Mtoto huyo ulionekana ukiwa umetupwa sehemu inaitwa Mlima Nyoka, Mtoto huyo Junior Bakari Siame alikua na umri wa miaka 8 na alikua Darasa la tatu, bonyeza play hapa chini kumtazama Baba Mzazi wa Marehemu akiongea

VIDEO IKIONYESHA WEZI WALIVYOREKODIWA BILA KUJUA WAKIIBA NDANI YA OFISI DAR ES SALAAM, MWENYE OFISI ASIMULIA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

NANDY AMLILIA TENA RUGE “NAKUMBUKA HII SIKU ULIVYONISTUKIZA” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUIPATA MWANZO MWISHO

Soma na hizi

Tupia Comments