Wananchi Mkoani Geita wamejitokeza kutoka maeneo mbalimbali kwenda katika Kijiji cha Kasala Kata ya Makurugusi, Wilayani Chato kwa ajili ya kumshuhudia nyoka wa ajabu huku wakipeleka zawadi na sadaka zikiwemo mbuzi, mtama na unga na kwamba endapo hakipokea sadaka na zawadi hizo kwao ni baraka kutokana na sadaka yao kukubaliwa.
MAGUFULI “INAUMIZA SAA NANE USIKU AMENITAFUTA, KAMTUMA MAMA MARIA NYERERE”