Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Chatu wa maajabu wananchi wampa mbuzi wabarikiwe, waliompiga wamekufa (+video)

on

Wananchi Mkoani Geita wamejitokeza  kutoka maeneo mbalimbali kwenda katika Kijiji cha Kasala Kata ya Makurugusi, Wilayani Chato kwa ajili ya kumshuhudia nyoka wa ajabu huku wakipeleka zawadi  na sadaka zikiwemo mbuzi, mtama na unga na kwamba endapo hakipokea sadaka na zawadi hizo kwao ni baraka  kutokana na sadaka yao kukubaliwa.

MAGUFULI “INAUMIZA SAA NANE USIKU AMENITAFUTA, KAMTUMA MAMA MARIA NYERERE”

Soma na hizi

Tupia Comments