Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Watuhumiwa wa kuiba madini wafikishwa Mahakamani, Wizara yatoa tamko zito

on

Naibu Waziri wa Madini yupo Mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi ambapo amesema Serikali haitamfumbia macho Mchimbaji au Mfanyabiashara wa Madini atakayekuwa akifanya shughuli hizo kinyume cha Sheria ya Madini na kuiingizia hasara Serikali ambayo inajitahidi kujenga masoko ya madini ili kuisaidia jamii nzima ya Watanzania.

MAGUFULIA AMEAHIDI KUWAPONGEZA HAWA WATU SIKU ZOTE

Soma na hizi

Tupia Comments