Unaambiwa baada ya kukaa benchi kwa siku 58 kutokana na majeraha, mkali wa soka Lionel Messi amepewa kibali cha kurudi uwanjani rasmi baada ya kuonekana kuwa fit kiafya.
Hapa chini unaweza kuitazama hii video wakati alipofuinga magoli matatu kwenye mazoezi ya wazi ya club ya Barcelona.