Michezo

Kuhusu hii ya Lionel Messi kurudi uwanjani

on

Screen Shot 2014-01-07 at 10.18.32 PMUnaambiwa baada ya kukaa benchi kwa siku 58 kutokana na majeraha, mkali wa soka Lionel Messi amepewa kibali cha kurudi uwanjani rasmi baada ya kuonekana kuwa fit kiafya.

Screen Shot 2014-01-07 at 10.12.10 PMHapa chini unaweza kuitazama hii video wakati alipofuinga magoli matatu kwenye mazoezi ya wazi ya club ya Barcelona.

Tupia Comments