Mwingine ambae alifika Mahakamani leo kuendelea kufatilia kesi yake ni Video Queen Agnes Gerald ‘masogange’ ambapo kesi yake ni kuhusu tuhuma za utumiaji wa dawa za kulevya.
Habari mpya ya leo kuhusu kesi hiyo ni kwamba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema Agnes anayo kesi ya kujibu katika kesi ya kutumia dawa za kulevya hivyo anapaswa kujitetea.
Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri amesema kuwa amekubaliana na hoja za ushahidi wa upande wa mashtaka ambapo mshtakiwa amekutwa na kesi ya kujibu na ana haki ya kujitetea.
Baada ya kuelezwa hayo, Masogange amesema atajitetea kwa njia ya kiapo na atakuwa na mashahidi watatu ambapo kesi imeahirishwa hadi October 12, 2017 ambapo Agnes ataanza kujitetea.
ULIPITWA? Mashahidi hawajui rangi ya mkojo wa Masogange…ilichoamua Mahakama? tazama kwenye hii video hapa chini
VIDEO: Wema Sepetu asema Alikiba na Diamond ni wenzawazimu, video kamili akiongea ni hii hapa chini… BONYEZA PLAY KUMTAZAMA
HATIMAE!! Wolper afunguka kuhusu kuachana na Harmonize, Sarah katajwa humo ndani mwanzo mwisho… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA
HAUTAKI KUPITWA??? Kuna hii APP MPYA YA MILLARD AYO kwa wewe wa ANDROID unaweza kubonyeza hapa moja kwa moja kwenda kui-download mtu wangu, HABARI ZOTE KIGANJANI MWAKO >>> APP MPYA BONYEZA HAPA