Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo April 5, 2019, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
RAIS MAGUFULI “UKIWA NA HASIRA MPELEKEE MKEO, WATAKULA PUSH-UP, WATALAMBA MCHANGA”