Habari za Mastaa

VIDEO: Uwoya alivyoangua kilio kifo cha Masogange

on

Msiba wa Agness Gerald “Masogange” umegusa wengi hata wasiomfahamu, Mwigizaji Irene Uwoya ni miongoni mwa Marafiki wa karibu wa Agness, alijumuika na Waombolezaji wengine kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili ulipohifadhiwa mwili wa Agness.

VIDEO: MWILI WA AGNESS MASOGANGE UKIPELEKWA MUHIMBILI

Soma na hizi

Tupia Comments