Mkuu wa Wilaya Missenyi Kanal Denis Mwila akiwa mbele ya Watumishi wa Umma Mkoani Kagera amewatia moyo na kuwataka pindi wanapopata changamoto wasijifungie nazo ndani.
“Usijifungie ndani na tatizo, hakuna tatizo jipya duniani, kuna Jamaa alimpa mimba house girl jambo lile likamsumbua nyumbani hapakaliki akataka kujiua, katika kutembea akamuhadithia Rafiki yake” DC Mwila
“Rafiki yake akamwambia aaaah wewe House girl? Mimi nimempa mimba Mama Mkwe….. kwahiyo wewe unaweza kufikiri tatizo lako ni kubwa kumbe ni dogo sana” DC Mwila
RC NA KAMANDA WAKESHA WAKIHESABAU MADINI YALIYOKAMATWA NA MBWA YA BILIONI KASORO