Top Stories

Kijana aliyepiga picha nyufa za jengo UDSM asimulia alivyotaka kutekwa, aripoti polisi

on

Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam [UDSM], Kumbusho Dawson ameripoti kituo cha Polisi kudai kuwa anafuatiliwa na watu wasiojulikana na siku tatu zilizopita maeneo ya Mlimani City alikutana na watu hao wakijaribu kumlazimisha aingie kwenye gari lao.

Akiongea na AyoTv na millardayo.com Kumbusho Dawson amesema “Kitu kilichotokea kwangu ni cha kihistoria sababu hakijawahi nityokea, toka mwaka jana mwezi 12 baada ya kupiga mojawapo ya jengo lililokuwa na nyufa na kusambaza, niliweza baini kuna watu wananifuatilia,”

JPM ASITISHA USAJILI WA MELI MPYA, BONYEZA PLAY  HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments