Top Stories

Mapokezi aliyoyafanya Rais Magufuli kwa Museveni | “Amekuja leo anaondoka leo’

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Magufuli amempokea Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalim Nyerere ambapo amewasili nchini kwa ziara ya siku moja na kwa pamoja watafanya mazungumzo Ikulu Jijini DSM leo. 

RAIS MAGUFULI AMLILIA MZEE MAJUTO “SITOSAHAU UCHESHI WAKE”

Soma na hizi

Tupia Comments