Top Stories

Waburundi 11 wamekamatwa wakilima Bangi Kigoma (+video)

on

Raia 11 wa Burundi wanashikiliwa na Polisi Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma baada ya kukutwa katika hifadhi ya Msitu wa Makere Kaskazini wakilima Bangi

Watuhumiwa hao wamekamatwa na vikosi vya ulinzi vya wakala wa huduma za misitu TFS Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wakati vikiendelea na operesheni ya kufyeka na kuteketeza bangi ndani ya hifadhi hiyo.

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama na Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanal Simon Annange amesema mpaka sasa wana zaidi ya ekari 30 za bangi zilizo gunduliwa na kuharibiwa katika hifadhi ya msitu wa Makere Kaskazini.

 

MAAJABU KUMI YA SOKA USIYOYAJUA

 

Soma na hizi

Tupia Comments