Baada ya tukio lisilo la kawaida la Mtoto aliepotea kwa siku 11 na baadae kukutwa amezikwa katika shamba la Bibi ambaye jina lake limehifadhiwa ambae aliuawa na Wananchi wenye hasira kali.
Hali ya sintofahamu imetokea mbele ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa na Viongozi wa Wilaya hiyo wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya wakati wanamzika Bibi huyo wananchi walianza kufanya vurugu kwa kurusha mawe hali iliyozua taharuki mbele ya Viongozi hao, Mkuu wa Wilaya Muleba Eng.Richard Luyango anaeleza hali ilivyokuwa.
MAAJABU KUMI YA SOKA USIYOYAJUA