Leo August 14, 2018 Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU, Rehema Mteta amewafikisha katika Mahakama ya Wilaya ya Hai mfanyabiashara wa Moshi Oscar Silas Kigumu akiuganishwa na Mkuu wa Kitengo cha Uchaguzi Halmashauri ya Hai Edward Ntakiliho.