Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

RC Mwanri alivyotoa mahubiri Kanisani leo “Nipeni nideki” (+video)

on

Leo August 11,2019 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amepata nafasi ya kuhubiri kwenye ibada ya harambee ya ujenzi wa shule awali ya Kanisa la KKKT Tabora ambapo amesisitiza umuhimu wa kujitoa kwa Mungu.

“Natamani siku moja nipewe kazi ya kudeki mnikute nadeki halafu watu wanicheke halaf tukifika Mbiguni nimwambie Mungu nilikuwa nachekwa” RC Mwanri

RAIS MAGUFULI ALICHOMFANYIA HUYU DADA ATOSAHAU, AINGIA DENI MAITI ITOLEWE

Soma na hizi

Tupia Comments