Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Mashabiki wa Jaguar walivyojitokeza Mahakamani akipewa dhamana (+picha)

on

July 3, 2019 Mbunge wa Starehe Charles Kanyi maarufu kwa jina Jaguar aliachiwa huru na mahakama jijini Nairobi kwa dhamana ya zaidi ya Shilingi Milioni kumi baada ya kushtakiwa kwa tuhuma za uchochezi.

Leo July 4, 2019 Nakusogezea picha hali ilivyokuwa nje ya Mahakama baada ya Jaguar kupewa dhamana.

ANAEMSOMESHA MTOTO WA MASOGAGE AWAVAA MASTAA “ACHENI MIDOMO, STEVE KATOA HELA”

Soma na hizi

Tupia Comments