Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Muonekano wa uwanja mkubwa zaidi wa ndege uliopo China (+picha)

on

China kuzindua Uwanja kubwa zaidi wa ndege Duniani ambao una mita za mraba Milioni 1.4 unatarajiwa kuwa na uwezo wa kuhudumia wasafiri Milioni 45 kwa mwaka ifikapo mwaka 2021 na kuhudumia watu Milioni 75 ifikapo 2025.

Ujenzi wa Uwanja huo uliopewa jina la Beijing Daxing ulianza miaka 5 iliyopita na sehemu kubwa imekamilika Jumapili tarehe 30 Juni, 2019.

Ufunguzi unatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Septemba mwaka huu. Uwanja huo utakuwa na huduma ya mtandao (Wi-Fi) yenye kasi ya 5G.

ANAEMSOMESHA MTOTO WA MASOGAGE AWAVAA MASTAA “ACHENI MIDOMO, STEVE KATOA HELA”

Soma na hizi

Tupia Comments