Mix

Maamuzi ya Serikali ya TZ kuhusu meli zilizokamatwa na dawa za kulevya na silaha

on

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo January 18, 2018 amezungumza na waandishi wa habari juu ya taarifa ya kukamatwa kwa meli zilizokuwa zimepakia shehena ya dawa za kulevya na silaha zikiwa zinapeperusha bendera ya Tanzania.

Makamu wa Rais ameeleza hatua ambazo wao kama Serikali walizichukua baada ya kupata taarifa ya kukamatwa kwa meli hizo zilizokuwa na dawa za kulevya.

VIDEO ILIYOREKODI MAZUNGUMZO YA KINGUNGE NA MAALIM SEIF LEO AKIWA KITANDANI

Soma na hizi

Tupia Comments