Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Airport DSM pamenoga kama si kudamshi, Watu Milioni 6, Magari elfu mbili

on

Leo September 13, 2018 Ninayo good news kwako Mtanzania ambapo Msemaji wa Serikali Dr. Hassan Abbas ameishare katika ukurasa wake wa Instagram Ujenzi wa Terminal III katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar umekamilika kwa wastani wa 81%.

Kwa mujibu wa Dr. Abbas uwanja huu utahudumia abiria Milioni 6 kutoka Milioni 1.5 kwa mwaka, yatapaki magari 2,000. Huo ndo muonekano wake kwa sasa.

LIVE MAGAZETI: JPM aagiza TAKUKURU ifumuliwe, Makontena ya Makonda yatinga Bungeni

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments