Breaking News

BREAKING: Baba mzazi wa Profesa Jay afariki Dunia

on

Leo September 7, 2018 Baba Mzazi wa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule (Prof. Jay) amefariki dunia akiwa katika Hospital St. Kizito Mikumi wakiwa katika mipango ya kumpeleka Muhimbili.

Prof. Jay amethibitisha kifo cha Baba yake katika mawasiliano aliyoyafanya kwa njia ya simu akiwa Dodoma.

Rais achangisha Mil. 20, “Tatizo midomo ina wawasha, wametugeuza sana ngoja nao tuwageuzie”

Soma na hizi

Tupia Comments