Burudani

CHUMBANI: Gigy kabwatuka “Unadanga wigi linanuka ubongo, nikipewa gari nitawasaga Alikiba, Mavoko”

on

Leo September 13, 2018 Zuchzuchero yupo ndani nyumbani kwa Gigy Money sio ndani tu chumbani kwake wamepiga stori kibao bila kusahau jina la awali la Gigy la Mjuju…Ishu iko hapa Gigy kawachana wadada wanaosema wanadanga ..Pia kaweka wazi akipewa Milioni 10 na gari awaambiwe awagonge Wanaume anaowachukia kawataja Alikiba, Mavoko na Hemed…Bonyeza PLAY ui-enjoy na Zuch

Gigy Money kwenye kisanga cha kukojoa ukweni

Soma na hizi

Tupia Comments