Gari aina ya Toyota Mark II imewaka moto na kuteketea katika eneo la Kwa Kagambo, Kata ya Rwamishenye Manispaa ya Bukoba, hakuna majeruhi wala kifo,abiria na dereva wote wametoka salama.