Moja ya life style inayo-trend mitandaoni kwa sasa Tanzania ni kutoka kwa watu Arusha ambao wamekuwa na style yao mavazi pia hata vyakula, sasa leo Ripota wako wa Nguvu Millard Ayo amefika eneo wanalotengeneza chapati kubwa ambapo Arusha wanasema ndio chapati kubwa Duniani.