Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Arusha wanasema hii ndio CHAPATI kubwa kuliko zote duniani (+video)

on

Moja ya life style inayo-trend mitandaoni kwa sasa Tanzania ni kutoka kwa watu Arusha ambao wamekuwa na style yao mavazi pia hata vyakula, sasa leo Ripota wako wa Nguvu Millard Ayo amefika eneo wanalotengeneza chapati kubwa ambapo Arusha wanasema ndio chapati kubwa Duniani.

Serikali yawapa siku nne Wanunuzi wa Korosho “la sivyo”

Soma na hizi

Tupia Comments