Ni ujenzi ambao unaendelea wa Taa za barabrani ‘Traffic Signal’ kwa mara ya kwanza katika Manispaa ya Kigoma Ujiji zinazotumia umeme wa Solar sasa zimewekwa kwa ajili ya watembea kwa miguu na magari eneo la kwa Bera pamoja na nyingine inatarajiwa kuwekwa eneo la Kwamchaga.