RC wa Tabora Aggrey Mwanri kupitia kampeni ya kupanda miti ili kuhifadhi mazingira amewataka Wakurugenzi Watendaji wa Halmashari kuwasimamisha kazi Watendaji wa Mitaa watakaoshindwa kusimamia majukumu yao
“Mtendaji wa Mtaa anakaa pale hana cha kuwambia watu unajua huyu ni kanyaboya hatusaidii kitu ondoa we fyeka kuna aluatani kunizidi mimi mkoa huu?” RC Mwanri
MAAJABU! MBUZI WANAOVUKA KWA KUTAZAMA TAA WANAZURURA USIKU WA MANANE