Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalumu ya DSM Lazaro Mambosasa, amesema kuwa aliyekuwa mtumishi Wizara ya Fedha, aliyefahamika kwa jina Leopold Kwemba Lwajabe, amejinyonga mwenyewe kutokana na ushahidi uliyopo, ikiwemo Notebook aliyoiacha ikielezea mgao wa mali zake zote.