Mbunge wa Mbeya Mjini ambaye pia ni staa wa miondoko ya HipHop Tanzania Joseph Mbilinyi maarufu SUGU amekubali kukaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV pamoja na millardayo.com ambapo ameeleza vitu anavyojivunia katika Muziki lakini pia vipi ana mpango wa kuachana na Siasa mara baada ya kupitia changamoto ya kwenda jela? Sugu amefunguka.
JPM “LOWASSA WASHAURI UNAOWAONGOZA LA SIVYO WATAISHIA GEREZANI”, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA