Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Mama wa Mtoto aliepewa ujauzito na Mwalimu Mkuu afunguka “anabebesha mimba Watoto” (+video)

on

Mzazi wa Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Nyantole katika Kijiji cha Kagongo Kitongoji cha Nyantole Mkoani Kigoma ameziomba mamlaka zinazohusika kumchukulia hatua za Kisheria Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyantole Jonson Rwekaza baada ya kutuhumiwa kumpa ujauzito Mwanae ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la saba katika Shule hiyo.

TAARIFA YA POLISI KUHUSU MAUAJI YA KIONGOZI WA CHADEMA MOROGORO

Soma na hizi

Tupia Comments