Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Majambazi waliokamatwa na silaha Tanga “Hii sio salama kwa Wahalifu” (+video)

on

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kuwakamata Majambazi na silaha katika matukio tofauti tofauti katika Mkoa huo huku baadhi ya Majambazi hao wakipoteza maisha wakiwa njiani kuelekea Hospitali kwa ajili ya matibabu baada ya kujeruhiwa wakati wa majibizano ya risasi na Polisi hao.

MAMA WA MTOTO ALIYEPEWA UJAUZITO NA MWALIMU MKUU AFUNGUKA “ANABEBESHA MIMBA WATOTO”

Soma na hizi

Tupia Comments