Salaam kwako mtu wa nguvu! Inawezekana kwenye saa kadhaa zilizopita umepata tatizo kuingia na kupata taarifa kupitia millardayo.com , nikuombe radhi kama umekutana na usumbufu wowote…. naendelea kulifanyia kazi tatizo hili ili tuendelee na utararibu wetu wa kawaida.
Wakati unasubiria millardayo.com kurudi kwenye mstari, naomba ujiunge na mimi kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter, Instagram na Youtube kote huko kwa jina hilohilo la ‘millardayo‘ ambako naendelea na utoaji wa taarifa kama kawaida.