Wananchi wa Kijiji cha Mwakijembe Wilayani Mkinga Mkoani Tanga wamelitupia lawama Jeshi la Wanyamapori TANAPA kwa kuwachukulia ng’ombe zao na kuwafukuza katika makazi yao kwa kudai ni eneo la Hifadhi huku wao wakiwa wazawa wa eneo hilo, hivyo wamekiomba chama cha mapinduzi kuwasaidia kwa kuwatatulia tatizo hilo linalowakosesha amani.
Lugola aagiza uchunguzi tukio la Kijana kupigwa hadi kuoza mguu Kituo cha Polisi